Isa. 43:23 SUV

23 Hukuniletea wana-kondoo kuwa kafara zako, wala hukuniheshimu kwa dhabihu zako. Sikukutumikisha kwa matoleo, wala sikukuchosha kwa ubani.

Kusoma sura kamili Isa. 43

Mtazamo Isa. 43:23 katika mazingira