Isa. 43:24 SUV

24 Hukuninunulia manukato kwa fedha, wala hukunishibisha kwa mafuta ya sadaka zako; bali umenitumikisha kwa dhambi zako, umenichosha kwa maovu yako.

Kusoma sura kamili Isa. 43

Mtazamo Isa. 43:24 katika mazingira