Isa. 44:11 SUV

11 Tazama, wenziwe wote watatahayari; na mafundi, hao ni wanadamu; na wakusanyike pamoja, wakasimame; wataogopa na kutahayari pamoja.

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:11 katika mazingira