Isa. 44:12 SUV

12 Mfua chuma hufanza shoka, hufanya kazi kwa makaa, huitengeneza sanamu kwa nyundo, huifanyiza kwa nguvu za mkono wake; naam, huona njaa, nguvu zake zikampungukia; asipokunywa maji huzimia.

Kusoma sura kamili Isa. 44

Mtazamo Isa. 44:12 katika mazingira