Isa. 45:8 SUV

8 Dondokeni, enyi mbingu, toka juu,Mawingu na yamwage haki;Nchi na ifunuke, ili kutoa wokovu,Nayo itoe haki ikamee pamoja;Mimi, BWANA, nimeiumba.

Kusoma sura kamili Isa. 45

Mtazamo Isa. 45:8 katika mazingira