Isa. 45:9 SUV

9 Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unafanya nini? Au kazi yako, Hana mikono?

Kusoma sura kamili Isa. 45

Mtazamo Isa. 45:9 katika mazingira