Isa. 46:13 SUV

13 Mimi ninaleta karibu haki yangu, haitakuwa mbali, na wokovu wangu hautakawia; nami nitaweka wokovu katika Sayuni kwa ajili ya Israeli, utukufu wangu.

Kusoma sura kamili Isa. 46

Mtazamo Isa. 46:13 katika mazingira