Isa. 47:1 SUV

1 Haya, shuka, keti mavumbini,Ewe bikira, binti Babeli;Keti chini pasipo kiti cha enzi,Ewe binti wa Wakaldayo;Maana hutaitwa tena mwororo, mpenda anasa.

Kusoma sura kamili Isa. 47

Mtazamo Isa. 47:1 katika mazingira