Isa. 47:12 SUV

12 Simama sasa na uganga wako, na wingi wa uchawi wako, uliojitaabisha nao tangu ujana wako; labda utaweza kupata faida, labda utaweza kushinda.

Kusoma sura kamili Isa. 47

Mtazamo Isa. 47:12 katika mazingira