Isa. 47:13 SUV

13 Umechoka kwa wingi wa mashauri yako; basi, na wasimame hao wajuao falaki, wazitazamao nyota, watabirio kila mwezi mambo ya mwezi huo, wakakuokoe na mambo yatakayokupata.

Kusoma sura kamili Isa. 47

Mtazamo Isa. 47:13 katika mazingira