Isa. 47:15 SUV

15 Ndivyo yatakavyokuwa mambo hayo uliyojitaabisha nayo; wale waliofanya biashara nawe tangu ujana wako watatanga-tanga mbali nawe, kila mtu akienda zake; hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.

Kusoma sura kamili Isa. 47

Mtazamo Isa. 47:15 katika mazingira