Isa. 48:1 SUV

1 Sikieni haya, enyi watu wa nyumba ya Yakobo, mnaoitwa kwa jina la Israeli, mliotoka katika maji ya Yuda; mnaoapa kwa jina la BWANA, na kumtaja Mungu wa Israeli, lakini si kwa kweli, wala si kwa haki.

Kusoma sura kamili Isa. 48

Mtazamo Isa. 48:1 katika mazingira