Isa. 48:16 SUV

16 Nikaribieni, sikieni haya; tokea mwanzo sikunena kwa siri; tangu yalipokuwapo, mimi nipo; na sasa Bwana MUNGU amenituma, na roho yake.

Kusoma sura kamili Isa. 48

Mtazamo Isa. 48:16 katika mazingira