Isa. 48:17 SUV

17 BWANA, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni BWANA, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata.

Kusoma sura kamili Isa. 48

Mtazamo Isa. 48:17 katika mazingira