Isa. 48:18 SUV

18 Laiti ungalisikiliza amri zangu! Ndipo amani yako ingalikuwa kama mto wa maji, na haki yako kama mawimbi ya bahari;

Kusoma sura kamili Isa. 48

Mtazamo Isa. 48:18 katika mazingira