Isa. 48:19 SUV

19 Tena wazao wako wangalikuwa kama mchanga, na hao waliotoka katika tumbo lako kama chembe zake; jina lake lisingalikatika, wala kufutwa mbele zangu.

Kusoma sura kamili Isa. 48

Mtazamo Isa. 48:19 katika mazingira