Isa. 48:20 SUV

20 Haya, tokeni katika Babeli,Kimbieni kutoka kwa Wakaldayo;Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya,Yatamkeni mpaka mwisho wa dunia, semeni,BWANA amemkomboa mtumishi wake, Yakobo.

Kusoma sura kamili Isa. 48

Mtazamo Isa. 48:20 katika mazingira