Isa. 5:11 SUV

11 Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao!

Kusoma sura kamili Isa. 5

Mtazamo Isa. 5:11 katika mazingira