Isa. 5:12 SUV

12 Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya BWANA wala kuyafikiri matendo ya mikono yake.

Kusoma sura kamili Isa. 5

Mtazamo Isa. 5:12 katika mazingira