Isa. 5:19 SUV

19 Wasema, Na afanye haraka, aihimize kazi yake, tupate kuiona; na likaribie shauri lake aliye Mtakatifu wa Israeli, tupate kuliona.

Kusoma sura kamili Isa. 5

Mtazamo Isa. 5:19 katika mazingira