Isa. 5:20 SUV

20 Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!

Kusoma sura kamili Isa. 5

Mtazamo Isa. 5:20 katika mazingira