Isa. 50:10 SUV

10 Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA, aitiiye sauti ya mtumishi wake? Yeye aendaye katika giza, wala hana nuru, naye alitumainia jina la BWANA, na kumtegemea Mungu wake.

Kusoma sura kamili Isa. 50

Mtazamo Isa. 50:10 katika mazingira