Isa. 50:11 SUV

11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.

Kusoma sura kamili Isa. 50

Mtazamo Isa. 50:11 katika mazingira