Isa. 51:1 SUV

1 Nisikilizeni, ninyi mnaoifuatia haki; ninyi mnaomtafuta BWANA; uangalieni mwamba ule ambao mlitolewa kwa kuchongwa, na tundu la shimo ambalo mlitolewa kwa kuchimbuliwa.

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:1 katika mazingira