Isa. 51:12 SUV

12 Mimi, naam, mimi, ndimi niwafarijiye; wewe u nani hata ukamwogopa mtu atakayekufa, na mwanadamu atakayefanywa kuwa kama majani?

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:12 katika mazingira