Isa. 51:11 SUV

11 Nao waliokombolewa na BWANA watarejea,Watafika Sayuni, wakiimba;Furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao;Watapata shangwe na furaha;Huzuni na kuugua zitakimbia.

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:11 katika mazingira