Isa. 51:16 SUV

16 BWANA wa majeshi ndilo jina lake. Nami nimetia maneno yangu kinywani mwako, nami nimekusitiri katika kivuli cha mkono wangu, ili nizipande mbingu, na kuiweka misingi ya dunia, na kuuambia Sayuni, Ninyi ni watu wangu.

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:16 katika mazingira