Isa. 51:17 SUV

17 Amka, amka, simama, Ee Yerusalemu,Wewe uliyenywea, mkononi mwa BWANA,Kikombe cha hasira yake;Bakuli la kikombe cha kulevya-levyaUmelinywea na kulimaliza.

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:17 katika mazingira