Isa. 51:22 SUV

22 BWANA, Bwana wako na Mungu wako, awateteaye watu wake, asema hivi, Tazama, nimeondoa mkononi mwako kikombe cha kulevya-levya, hilo bakuli la kikombe cha hasira yangu; hutakinywea tena;

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:22 katika mazingira