Isa. 51:3 SUV

3 Maana BWANA ameufariji Sayuni; amepafariji mahali pake palipokuwa ukiwa; amefanya jangwa lake kuwa kama bustani ya Edeni, na nyika yake kama bustani ya BWANA; furaha na kicheko zitaonekana ndani yake, kushukuru, na sauti ya kuimba.

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:3 katika mazingira