Isa. 51:4 SUV

4 Nisikilizeni mimi, enyi watu wangu; nisikieni, taifa langu; maana sheria itatoka kwangu, nami nitaistarehesha hukumu yangu iwe nuru ya mataifa.

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:4 katika mazingira