Isa. 51:6 SUV

6 Inueni macho yenu mbinguni, mkaitazame nchi chini; maana mbingu zitatoweka kama moshi, na nchi itachakaa kama vazi, nao wakaao ndani yake watakufa kadhalika; bali wokovu wangu utakuwa wa milele, na haki yangu haitatanguka.

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:6 katika mazingira