Isa. 51:7 SUV

7 Nisikilizeni, ninyi mjuao haki, watu ambao mioyoni mwenu mna sheria yangu; msiogope matukano ya watu, wala msifadhaike kwa sababu ya dhihaka zao.

Kusoma sura kamili Isa. 51

Mtazamo Isa. 51:7 katika mazingira