Isa. 52:4 SUV

4 Maana Bwana MUNGU asema hivi, Watu wangu hapo kwanza walishuka Misri ili wakae huko hali ya ugeni; na Mwashuri akawaonea bila sababu.

Kusoma sura kamili Isa. 52

Mtazamo Isa. 52:4 katika mazingira