Isa. 52:5 SUV

5 Basi sasa, nafanya nini hapa, asema BWANA, ikiwa watu wangu wamechukuliwa bure? Hao wanaowatawala wanapiga yowe, asema BWANA, na jina langu linatukanwa daima mchana kutwa.

Kusoma sura kamili Isa. 52

Mtazamo Isa. 52:5 katika mazingira