Isa. 52:9 SUV

9 Pigeni kelele za furaha, imbeni pamoja,Enyi mahali pa Yerusalemu palipokuwa ukiwa;Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake,Ameukomboa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Isa. 52

Mtazamo Isa. 52:9 katika mazingira