Isa. 53:10 SUV

10 Lakini BWANA aliridhika kumchubua;Amemhuzunisha;Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi,Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi,Na mapenzi ya BWANA yatafanikiwa mkononi mwake;

Kusoma sura kamili Isa. 53

Mtazamo Isa. 53:10 katika mazingira