Isa. 53:3 SUV

3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu;Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko;Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao,Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.

Kusoma sura kamili Isa. 53

Mtazamo Isa. 53:3 katika mazingira