Isa. 53:4 SUV

4 Hakika ameyachukua masikitiko yetu,Amejitwika huzuni zetu;Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa,Amepigwa na Mungu, na kuteswa.

Kusoma sura kamili Isa. 53

Mtazamo Isa. 53:4 katika mazingira