Isa. 53:8 SUV

8 Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa;Na maisha yake ni nani atakayeisimulia?Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai;Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.

Kusoma sura kamili Isa. 53

Mtazamo Isa. 53:8 katika mazingira