Isa. 54:1 SUV

1 Imba, wewe uliye tasa, wewe usiyezaa; paza sauti yako kwa kuimba, piga kelele, wewe usiyekuwa na utungu; maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Isa. 54

Mtazamo Isa. 54:1 katika mazingira