Isa. 54:10 SUV

10 Maana milima itaondoka, na vilima vitaondolewa; bali wema wangu hautaondoka kwako, wala agano langu la amani halitaondolewa; asema BWANA akurehemuye.

Kusoma sura kamili Isa. 54

Mtazamo Isa. 54:10 katika mazingira