Isa. 54:11 SUV

11 Ewe uliyeteswa, uliyerushwa na tufani, usiyetulizwa, tazama, nitaweka mawe yako kwa rangi nzuri, nitaweka misingi yako kwa yakuti samawi.

Kusoma sura kamili Isa. 54

Mtazamo Isa. 54:11 katika mazingira