Isa. 54:17 SUV

17 Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Isa. 54

Mtazamo Isa. 54:17 katika mazingira