Isa. 55:1 SUV

1 Haya, kila aonaye kiu, njoni majini,Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle;Naam, njoni, nunueni divai na maziwa,Bila fedha na bila thamani.

Kusoma sura kamili Isa. 55

Mtazamo Isa. 55:1 katika mazingira