Isa. 55:11 SUV

11 ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.

Kusoma sura kamili Isa. 55

Mtazamo Isa. 55:11 katika mazingira