Isa. 56:1 SUV

1 BWANA asema hivi, Shikeni hukumu, mkatende haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa.

Kusoma sura kamili Isa. 56

Mtazamo Isa. 56:1 katika mazingira