Isa. 55:13 SUV

13 Badala ya michongoma utamea msunobari,Na badala ya mibigili, mhadesi;Jambo hili litakuwa la kumpatia BWANA jina,Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.

Kusoma sura kamili Isa. 55

Mtazamo Isa. 55:13 katika mazingira