Isa. 56:5 SUV

5 Nitawapa hawa nyumbani mwangu, na ndani ya kuta zangu, kumbukumbu na jina, lililo jema kuliko kuwa na wana na binti; nitawapa jina lidumulo milele, lisilokatiliwa mbali.

Kusoma sura kamili Isa. 56

Mtazamo Isa. 56:5 katika mazingira