Isa. 56:6 SUV

6 Na wageni, walioandamana na BWANA ili wamhudumu, na kulipenda jina la BWANA, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu;

Kusoma sura kamili Isa. 56

Mtazamo Isa. 56:6 katika mazingira